P. Diddy kumbe ni mchafu na muovu zaidi ya shetani!

Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Feb 4, 2009
75,016
156,392
🚨

Huyu jamaa nilidhania anasingiziwa kumbe ni mshenzi kweli. P. Diddy aka Mr Love anaeshutumiwa kwa makosa mbalimbali ya udhalilishaji wa ki ngono kwa wanawake na wanaune nimeona kwenye moja ya mahojiano yake (crip) anaweka wazi kuwa hamu yake ya kufanya mapenzi huwa haichagui mwanamke au mwanaume bali itategemea na mood na vibe atakayokuwa nayo wakati huo.

Alafu anaulizwa kama ameshmbandua Meek Meel ambaye ni producer wa kiume anajibu kuwa hilo hawezi kulisema kama ni kweli au si kweli.

Malalamiko ya huyo producer ni kwamba aliliwa kiboga na Didy ili asaidiwe kupata tuzo ya Grammy ya producer bora wa mwaka.

Yaani yeye alikuwa ana exchange matako ya mtu na heshima unayoitaka. Dah! Alafu huyu jamaa alikuwa karibu sana na Burna Boy wa Nigeria na ndiyo aliyemsaidia kupata tuzo mbalimbali kubwa za kimataifa.

Hili suala limenishtua sana na sasa ndiyo najua hata wasanii wetu wa Afrika ikiwemo hawa wa Tanzania ambao hadi wanapigiana video call na Rick Ross kuna siri nyingi sana nyuma yao zinazowafikisha hapo ambapo wakati ukifika itagundulika tu.

Napata shaka sana juu ya mond kama hajabanduliwa na huyu filauni sababu nimemuona yeye na mameneja wake wakieleza waliwahi fika nyumbani kwa Didy

Nilichojifunza ni kwamba dunia imeharibika sana hivyo siyo busara kutamani mafanikio ya mtu maana kuna wengine wameyapata kwa gharama ya kuudhalilisha utu wao aisee🤔🤔

Vijana wenzangu turidhike na maisha yetu aliyotujaalia Mwenyezi Mungu kwani shetani siyo mwema ki hivyo hadi akupe maisha mazuri bure bure.
 
Back
Top Bottom