GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 59,949
- 119,212
Simu yangu ninayotumia Line ya Airtel nikiwapigia Watu wengine wa Tigo, Airtel na Vodacom nawapata nawapata na tunasikilizana vizuri ila kwa Wengine Mimi nawasikia ila Wao hawanisikii kabisa.
Haya Wataalamu ( Wajuvi ) wa Mambo hapa Tatizo Kuu ni nini? Nifanyeje ili litatuke? Na Simu ninayotumia ni ya kawaida sana Kulinganisha na zenu za Kitajiri ambapo natumia TECNO F2 LTE.
Nitashukuru mno kwa Maujuzi yenu.