Oya brother acha uzuzu, hizi pigo zita kuzingua

Jana nili kuwa na siku ndefu na yenye kuchosha, sijui nili lala saa ngapi ila nahisi kabla ya saa 5 .

Kwa Mara ya kwanza nili tamani Mtu ani ambie pumzika baba ๐Ÿ˜๐Ÿ˜‚
Pole sana kaka, kuna muda unachoka hadi unatamani kweli hata mtu akwambie pumzika ila ndio hivyo.
Haya sasa umefika wakati uoe sasa๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ kina Lailati wapo wa kutosha huku nipate wifi wa kukwambia pumzika sasa.
 
KATAA NDOA LINDA MAISHA YAKO ๐Ÿ’ช
 
Pole sana kaka, kuna muda unachoka hadi unatamani kweli hata mtu akwambie pumzika ila ndio hivyo.
Haya sasa umefika wakati uoe sasa๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ kina Lailati wapo wa kutosha huku nipate wifi wa kukwambia pumzika sasa.
Tafuta Sasa, angalau awe mtaratibu na msikivu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom