Oya brother acha uzuzu, hizi pigo zita kuzingua

Intelligent businessman

JF-Expert Member
Sep 6, 2022
33,116
68,268
Kutoa pesa kununua UCHI/MALAYA ni ushamba, upumbavu, laana & zaidi ya yote ni dalili ya kuwa na IQ ya funza kula mizoga.

Unawezaje kulala na mtu usiyemjua? Unawezaje kulala na mtu anayelalwa na zaidi ya wanaume 10 kwa siku?Unajichotea tu mikosi, balaa & roho chafu bila kujua.

tafuta mwenza mmoja tulia, haikuondolei urijali wako ila una Linda afya ya Mwili, akili na roho yako.
 
Asante kutukumbusha...ajabu wapo watakuja kukuponda...hao hao ndo kila siku kulalamika family issue humu mitandaoni

Sasa wewe hujiheshimu utaheshimiwa vipi na mke wako au watoto wako

Starehe na anasa zilizopitiliza kama ufuska ni ubinafsi na mwishowe majuto
 
Naam wana sema kioo kina akisi kinacho onekana, tabia mbovu ni Kama tyre lazima ziku rudie tu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom