Slogan au our motto:
Inaweza kuwa ni mara ya kwanza au si kitu kipya humu jamvini lakini nimejaribu kukumbuka mbali kuhusu kaulimbiu hizi wakati wa sekondari shule niliosoma mimi kaulimbiu ilisema"our motto through hard work to the star" je wewe mwenzangu yako ilikuwa ipi?