Teko Modise
JF-Expert Member
- May 20, 2017
- 2,321
- 7,699
Baada ya Singida Black Stars kuwa na mwanzo mzuri katika NBC PL, mpiga porojo kutokea Wasafi Media, Oscar Oscar ameipa nafasi timu hiyo kutwaa ubingwa wa NBC PL mbele ya Yanga, Simba na Azam.
Mpiga porojooMbona simjui ndo nani huyo jamaa
Muda utaongea
Kuna zile timu za mungu nisaidie azitopata point ata Moja mbele singida, maana singida akuna wachezaji wake waliozuiwa kucheza na tff kama fountain gate na Tabora united🤣🤣🤣🤣Baada ya Singida Black Stars kuwa na mwanzo mzuri katika NBC PL, mpiga porojo kutokea Wasafi Media, Oscar Oscar ameipa nafasi timu hiyo kutwaa ubingwa wa NBC PL mbele ya Yanga, Simba na Azam.View attachment 3100578
Mpiga porojo. Kila kitu anajifanya anajua. Kuanzia stori za mapenzi, uchumi, siasa mpaka NASA.Baada ya Singida Black Stars kuwa na mwanzo mzuri katika NBC PL, mpiga porojo kutokea Wasafi Media, Oscar Oscar ameipa nafasi timu hiyo kutwaa ubingwa wa NBC PL mbele ya Yanga, Simba na Azam.View attachment 3100578
Alisema yanga kucheza fainali CAFCC si mafanikio, maana mafanikio ni kuchukua kombe, pili kombe la CC halina hadhi sawa na CL sasa tuone hiyo timu yake pendwa anayoishabikia makolo itachukua huo ubingwa wa CC ili iwe mafanikio?Mpiga porojo. Kila kitu anajifanya anajua. Kuanzia stori za mapenzi, uchumi, siasa mpaka NASA.
Watu wanaishi kwa akili sana hapò anajua atafungiwa bahasha mwenye timu hiyo si mnamjua lakini..Baada ya Singida Black Stars kuwa na mwanzo mzuri katika NBC PL, mpiga porojo kutokea Wasafi Media, Oscar Oscar ameipa nafasi timu hiyo kutwaa ubingwa wa NBC PL mbele ya Yanga, Simba na Azam.View attachment 3100578
Huyu jamaa mjinga sana.Alisema yanga kucheza fainali CAFCC si mafanikio, maana mafanikio ni kuchukua kombe, pili kombe la CC halina hadhi sawa na CL sasa tuone hiyo timu yake pendwa anayoishabikia makolo itachukua huo ubingwa wa CC ili iwe mafanikio?
🤣🤣Baada ya Singida Black Stars kuwa na mwanzo mzuri katika NBC PL, mpiga porojo kutokea Wasafi Media, Oscar Oscar ameipa nafasi timu hiyo kutwaa ubingwa wa NBC PL mbele ya Yanga, Simba na Azam.View attachment 3100578