OS (operating systems) za vyombo vyetu vya ulinzi na usalama

Mbona Urusi inawavunjaga mbavu!?
mjanja siku zote ana mjanja mwenzake...kudukuliwa kupo palepale inategemeana na uwezo wa security ulionao ...kutumia OS yako mwenyewe haimaanishi hautadukuliwa ila unaongeza usalama wa materials yako
 
Watu wengi sana binafsi na makampuni wanatumia windows, iOS na androids kama operating systems zao kwa vifaa kama simu na computers...mataifa yalioendelea kwa usalama hawazitumii hizi bali wanakua na OS zao ambazo ni za siri na ili kuwezesha utunzaji wa data kwa usiri wa hali ya juu hata cyber attack inakua ni ngumu kutokea...juzi juzi wiki leaks imetoa publication ni kwa jinsi gani shirika la kijasusi la marekani (cia) lilivyoweza kufanya ushushushu na kukusanya data za watu binafsi na pengine mashirika mbalimbali duniani, zaidi ya watu millioni mia tano walidukuliwa data zao bila wao kujua

sasa mimi nimetafakari nikajiuliza hivi, taasisi zetu kubwa za ulinzi na usalama ie. JWTZ , POLICE FORCE na TISS wana operating systems zao maalumu ambazo si rahisi kua spyed au nao bado wanamtegemea microsoft na kina linux??kwa sababu hizo ndio OS rahisi sana kudukuliwa...

kwa wenzetu kama marekani innovations kubwa kabisa zinaanzia jeshini na wana OS systems zao tofauti na mtu yoyote yule duniani, mfano NASA ni sehemu muhimu ya jeshi la US ambapo kila siku tunasikia ugunduzi mpya...kwa hapa kwetu vyombo vyetu vya ulinzi na usalama vina vitengo maalum vinavyoweza kussuport innovations mbalimbali kwa ajili ya kuboresha ufanisi na utendaji kwa vyombo husika??

korea kaskazini ni taifa lenye uchumi mdogo sana lakini kwa technolojia wapo mbali sana kiasi kwamba ni vigumu kujua nini kinaendelea nchini mwao

hapa kwetu vipi? maana mpaka Gmail tunatumia
RED STAR os
 
Nchi nyingi bado zatumia XP
Sisi Tanzania najua tutakuwa twatumia 8/7 hivi
 
Kwa upande mwengine utumiaji wa os unaweza usiwe tatizo ndio maana hata hizo taasisi za kijasusi za marekani hudukuliwa hii inamaanisha kwamba mdukuzi huenda hakujua ni os gani wanayotumia hiyo taasisi ila mdukuzi yoyote ni lazima awe na elimu ya vitu vikuu viwili ikiwemo elimu ya network pamoja na programing kwani kawaida hua mtu hadukui au hadukuliwi akiwa offline kama utakua mfuatiliaji mzuri wa documentary za security za wamarekani zilizodukuliwa na kuzimwa kwa server zao kwenye taasisi kubwa tu ya ulinzi ya cia wahusika wakuu wakiwa ni al qaeeda kabla yakutekeleza shambulio la september 11 hvyo basi suala la elimu kwenye masuala ya mtandao kila taifa lina njia zake wanazotumia kujilinda dhidi ya udukuzi wa mtandao hususa ni katika masuala ya ulinzi na usalama sisi kwa nchi yetu nina imani imejiimarisha vyakutosha na kuna wahusika sahihi kwenye vitengo hivyo ambao hujitahidi kuhakikisha hakuna taarifa zinazodukuliwa kutoka kwenye vitengo nyeti kama hivyo kwani ikumbukwe hata kwenye maandiko ya dini yalisema kila kwenye mjuzi pana mjuzi zaid na ndio maana technology yetu inakua kwa kasi kutokea uhuru hadi hivi sasa tulipofikia tumepiga hatua kwenye sekta hii hivyo basi nina imani serikali itahakikisha inazidi kuongeza nguvu zake zote kwenye sekta hii ya technology kwani tunakoelekea tunaingia kwenye ushindani wakimataifa
 
Wanatumia windows... trust me tunaweza tengeneza OS sema ndio hivyo nchi yetu viongoz wataiwekea kipingamizi. Ukweli ni kuwa OS kama windows ni rahisi sana ku hack.... lakin cha ajab ndio nchi imeng'ang'ania.
 
hatuoni kama hawana uelewa wapo wenye uelewa....lakini ni kwa kiasi gani jambo hili linapewa kipaumbele kwenye usalama wa nchi yetu??sidhani kama linapewa kipaumbele

Ni vitu gani vinaweza kukufanya uamini kama hili jambo linapewa kipaumbele?

Maana wewe sidhani kama ni mtumishi wa hizi idara.
 
Ni vitu gani vinaweza kukufanya uamini kama hili jambo linapewa kipaumbele?

Maana wewe sidhani kama ni mtumishi wa hizi idara.
ni innovation gani taasisi zetu za ulinzi na usalama zimefanya kwa kutumia technology???????au unataka kuniambia wanafanya kwa siri???
 
Wanatumia windows... trust me tunaweza tengeneza OS sema ndio hivyo nchi yetu viongoz wataiwekea kipingamizi. Ukweli ni kuwa OS kama windows ni rahisi sana ku hack.... lakin cha ajab ndio nchi imeng'ang'ania.
masuala ya teknolojia kwenye ulinzi na usalama naweza kusema hayana kipaumbele kabisaa
 
ni innovation gani taasisi zetu za ulinzi na usalama zimefanya kwa kutumia technology???????au unataka kuniambia wanafanya kwa siri???

Kama umewahi kuwaona wachina wakiwa wanaendesha magari ya JWTZ na wazungu na raia wengine wa kigeni unadhani huwa wanajishughulisha na nini wakiwa huko JWTZ?

Kila jeshi lina mtandao wake yaani "Network" ambao unakuwa nchi nzima kwa ajili ya mawasiliano, usalama na mambo mengine muhimu hivyo kunakuwa na OS yake ambayo ni mahsusi kwa ajili hiyo.

Unaweza ukawa na vikosi zaidi ya 2600 nchi nzima na hivi vyote vinahitaji usalama kwenye ile "bandwith" wanayopewa.

Hivyo kama una OS basi unatafuta "hardware" na mara nyingi unaponunua hizo hardware kama ni Uchina basi wachina watakuja kusaidia kuzifunga na kuweka OS ambayo imekuwa developed na JWTZ.

Ndiyo maana unaweza kuwaona wachina na baadhi ya raia wengine wa kigeni wakiwa wanaendesha magari ya JWTZ wanakuwa na kazi maalum.

Sasa kwanini wanachangia source code?

Kaa na jiulize masuali kadhaa halafu potezea tu.

Serikali maana yake halisi ni sirikali.

Na unaposema ulinzi na usalama ni tayari unataka kwenda hatua ingine kabisa ya mjadala ambayo haizungumziwi kiholela kama wewe haumo katika hio hatua.
 
JWTZ OS yao inaitwaje?? iligunduliwa lini??? mbona hatuijui na wala hatujawahi kuisikia???? wakati ofisi ya ikulu yenyewe inatumia gmail
 
JWTZ OS yao inaitwaje?? iligunduliwa lini??? mbona hatuijui na wala hatujawahi kuisikia???? wakati ofisi ya ikulu yenyewe inatumia gmail
Sahau kama vitu vya jeshi haswa LA Tz kama vitaanikwa ovyo,, kikubwa Kuna mipaka na using'ang'ania kupata inaitwaje, alafu sometimes tujiongezee vipo vitu vya kuonyesha au kuzungumza wazi, ila si vya jeshi au taasisi yoyote ya usalam kama wew ni mtanzania litambue Hilo,,, vita ya sikuhizi ni kutafuta kujua jirani yako Anafanya au anampango wa Kafanya nin, na nimkwamishe vipi ili yeye achukue advantage wa kuendelea kabla yako, kumbuka mtandao huu hautumiii mtanzania tu, ila na jirani zako
 
hizi OS ni rahisi sana kuzichezea, kama ni kweli ndio tunazozitumia bas tuna hali ya hatari, bado sitaki kuamini kama kweli ndizo zinazotumiwa na vyombo vyetu vya usalama na ulinzi

Hizo OS zinatumika kuweka kumbukumbu za madeni na vifo mambo nyeti yako strong room
 
Sahau kama vitu vya jeshi haswa LA Tz kama vitaanikwa ovyo,, kikubwa Kuna mipaka na using'ang'ania kupata inaitwaje, alafu sometimes tujiongezee vipo vitu vya kuonyesha au kuzungumza wazi, ila si vya jeshi au taasisi yoyote ya usalam kama wew ni mtanzania litambue Hilo,,, vita ya sikuhizi ni kutafuta kujua jirani yako Anafanya au anampango wa Kafanya nin, na nimkwamishe vipi ili yeye achukue advantage wa kuendelea kabla yako, kumbuka mtandao huu hautumiii mtanzania tu, ila na jirani zako
marekani na jeshi lake lote bado anashirikiana na nasa na hiohio nasa inafadhiliwa na watu, na makampuni binafs, na kuna projects mbalimbali za kisayansi iwe za kiafya au zozote zile wanazifanya na hawafichi chochote na ndio watu wanaoongoza kwa kua na maadui wengi duniani, na matokeo mwisho wa siku wanayatangaza kwa hizo tafiti zao walizofanya.. hilo la os ni mfano mdogo tu hakuna asiejua marekani anatumia os gani...usiri upo na unahitajika lakini tusije kua tunakumbati magonjwa yatayokuja kutuumbua mbele...TZ yetu mtu anaweza fanya uhalifu na akakimbia kusikojulikana na asipatikane kabisa achilia mbali masuala ya utekaji yanayoendelea sasa hivi na watekaji hawafahamiki ni kina nani TISS wapo POLICE FORCE wapo na hii ni kutokana na teknolojia ndogo tulizonazo......kuna haja ya kuongeza nguvu za kiteknolojia kwa vyombo vyetu....na wakubali kushirikiana na taasisi nyinginezo au watu wenye uwezo ili kuboresha mambo
 
Microsoft's Beijing Transparency Center gives Chinese government access to Windows source code - Myce.com

angalia hapo microsoft anaonesha source code kwa serikali ya china anytime kupitia hizo ofisi zake na sio china tu kuna ofisi nyengine kwa ajili ya nchi nyengine.

wanachokatazwa serikali ya china ni kubadili hio source code.

na hizo os haimaanishi kama nchi ina os yake basi isitumie nyengine, jeshi moja linaweza kuwa na maelfu ya computer yenye os tofauti tofauti.

nipe muda hapa nikuchekie hizo nchi maarufu zote

Mkuu unaposema anytime means bado hawajashare source ya Red na China, kwahyo unakuja kubali kwamba China hawana source code ya Red

http://www.itsec.gov.cn/export/sites/itsec/english/
https://news.microsoft.com/2003/09...732l311kbezpugo1yumm6dcd4#ZyH4TxfxqZCjbkOq.97
Mkuu serikali ya China iliisha kubali jamaa wa (CNITSEC) wawe wanafanya kazi ya Kureview na kuanalyse security issues kupitia GSP.
The Chinese government, like the US
government, has been permitted
source code review for security
purposes in a secured lab at
Microsoft's China Information
Technology Security Certification
Center in Beijing since 2003.
https://arstechnica.com/informatio...-modifies-windows-os-for-chinese -government/
 
Back
Top Bottom