Orodha yangu ya watu walioupiga mwingi 2023

Intelligent businessman

JF-Expert Member
Sep 6, 2022
26,758
54,398
Mwaka ndo huu una ishia, japo zime baki siku chache ila hakuna mwenye uhakika kwa asilimia 100 ata toboa 2024.

👉Sina mpango wa kukutisha, ila ni hulka yangu kuanza kwa mikogo na kumaliza kwa kicheko.

Mwaka huu Ume kuwa wa kiutofauti Sana katika maisha yangu katika nyanja mbalimbali kuwa nyakati ngumu zinapita, ila watu imara hudumu.

Yaani Mwaka ni Kama darasa shuleni, mna anza wengi ila mna maliza wachache.

👉 Pengine ni ubize tu, ugonjwa, umauti na hata kutofautiana kimawazo.

Naomba nitaje list yangu ya nguvu kwa Mwaka huu 2023, Hawa wame upiga mwingi aisee.

👉 Mzee wangu Ushimen, huyu ni mzee wangu, rafiki, mshikaji na hata mwana, support Anayo nipa ni zaidi ya upendo 🙏.

Mda mwingine nime kaa nime boreka, namcheki kumzingua tu angalau kujuliana hali.

Madame S, uki sikia malaika tunao ishi nao duniani ndo huyu sister, ali kuwa sapoti kubwa Sana kwa upande wangu katika hali flani.

👉Nadhani kani fundisha Sera na mitazamo mingi Sana, hope Philipo D. Ruzige ata mfikishia salamu zangu.

Mshana Jr, huyu ni mzee au bro flani noma kiroho Safi, hana majivuno, ana ishi na watu kwa style ya aina yake.

👉Kuna siku nime mpigia saa 10 usiku, and still haku mind, nyuzi zake na maarifa yake ni mtaji tosha.

Wana familia yangu wa jf, USI shituke Kama huna basi itafute kwa maana ya kwamba huwezi jua saa au siku gani uta wahitaji.

👉Wana jijua ila naomba niwa taje na kuwa shukuru kwa Mambo tuliyo fanya 2023.
👉Mwenye kiti Mshana Jr, katibu Glenn, CONTROLA, Chakorii, Mpaji Mungu, Analyse, Ushimen, Joanah, Joannah, Elli, Black Sniper, Half american, na wengine wote chamani.- .mni samehe kwa ambao sija wataja.

Shujaa wangu wa 2023 ni Mnyakyusa Ipinda, na Abigail Nabal , Hawa wame ni fundisha hakuna kukata tamaa.

👉Jikubali na uji pambanie, angalau kohoa tu ili usikike. Tuko pamoja wapendwa.

My brother National Anthem, Jamaa yangu wa kufa kufaana, yuko poa Sana.

👉salamu ziku fikie, endelea kukaza buti.

Vichaa wenzangu, Sasa una hisi wote tukiwa wazima, tuta ishi kwa style gani??.

👉 Half american, Mpaji Mungu, mshamba_hachekwi, @ mrusi wa mchongo Ivan Stepanov, Poor Brain.

My lovely woman Nuzulati, more love less ego sinyorita.
👉 though ana badilika ka kinyonga, ila tuna ishi hivyo hivyo.

Team movie and series, mko wengi Sana wakuu jla acha nitaje Hawa kiasi chake Mvaa Kobazi, adriz, Charles kilian, Dream Queen, Scars. Binti chugah Depal.

👉My super friend Lovelovie naku zingua bhana, una ijua nafasi yako.

👉 My rival Hannah, I still don't like you prick.
👉 Robot la matope miss IQ, sister trudie
Waandishi wetu wapendwa, kalamu yenu ni furaha kwetu Analyse, UMUGHAKA, INSIDER MAN, SteveMollel, legend mzee JBourne59.
👉Mtaalamu wa lugha ya malkia fundi bishoo 😆😀🤣
FB_IMG_17026391740643197.jpg
 
Back
Top Bottom