Orodha kamili ya wachezaji wa kigeni wa Klabu ya Yanga

Uzalendo wa Kitanzania

JF-Expert Member
Mar 8, 2020
3,426
7,806
Wadau hamjamboni nyote?

Orodha kamili ya wachezaji wakigeni wa Yanga

Wachezaji wa kigeni katika klabu ya Yanga msimu 2024/2025

โ—‰ Djigui Diarra ๐Ÿ‡ฒ๐Ÿ‡ฑ
โ—‰ Yao Attohoula Kouassi ๐Ÿ‡จ๐Ÿ‡ฎ
โ—‰ Chadrack Issaka Boka ๐Ÿ‡จ๐Ÿ‡ฉ
โ—‰ Khalid Aucho ๐Ÿ‡บ๐Ÿ‡ฌ
โ—‰ Maxi Mpia Nzengeli ๐Ÿ‡จ๐Ÿ‡ฉ
โ—‰ Duke Deuces Abuya ๐Ÿ‡ฐ๐Ÿ‡ช
โ—‰ Pacome Peodoh Zouzoua ๐Ÿ‡จ๐Ÿ‡ฎ
โ—‰ Stephane Aziz Ki ๐Ÿ‡ง๐Ÿ‡ซ
โ—‰ Clatous Chota Chama ๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡ฒ
โ—‰ Kennedy Musonda ๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡ฒ
โ—‰ Jean Othos Baleke ๐Ÿ‡จ๐Ÿ‡ฉ
โ—‰ Prince Mpumelelo Dube ๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡ผ
 
Mpira ni biashara ww mtk......kwa hiyo ulitako tuweke wajomba zako!
 
Jamaa kaanzisha uzi kama kuhabarisha kuhusu wachezaji wa kikosi cha Yanga 2024/2025 wa kimataifa ila cha ajabu watu wanamshambulia utafikiri kuna kauli yeyote ya dhihaka, kejeli au tusi alilolitoa. Hizo ni dalili za stress kila jambo unalichukulia in negative side
 
Ukijinyea,kila atakayecheka unadhani anakucheka wewe.
 
Back
Top Bottom