Oreo Cake

MadameX

JF-Expert Member
Dec 27, 2009
7,792
3,857
80g siagi isiyo ya chumvi
180g sukari ya kusaga)
2 mayai
220g unga
1 tsp baking powder
1/2 tsp bicarbonate soda
1/2 tsp salt
1 tsp vanilla
1 kikombe cha maziwa lala (yoghurt au sour cream)
Oreo biscuits kama 5 hivi crushed



Changanya unga, baking powder, baking soda na chumvi weka kando

Changanya suka siagi piga kwa mashine (handmixer) mpaka ichanganyike tia mayai, vanila, chumvi na maziwa lala vuruga tena mpaka ichangnyike vizuri. Sasa chukua mchanganyiko wa unga umimine kidogo dogo kwenye huu mvurugo wa pili wa siagi mpaka umechanganyika vizuri. Ongeza Oreo na changanya na kijiko sio kwa machine.

Hamishia hii mixture kwenye tray lako lilipakwa mafuta au parchment baking sheet, tia kwenye preheat oven at 180C, bake for 45 mins


Note:
Mimi binafsi huwa natumia self raising floor, kwahiyo sina haja ya kutia baking powder au baking soda. Youghurt au sourcream inafanya cake yako kuwa moist, so I never miss on this.

3995896973.jpg
 
Back
Top Bottom