Wewe utakuwa umeukwaa wallahi,sio kwa kasi hiii...Nenda kapime ndugu!
UNAONEKANA UKO VIZURI KUANDIKA STORY,JUZI UMEKUJA NA ILE YA MAMA MWENYE NYUMBA LEO UMEKUJA NA HII.ACHA ULOFA WA KUTULETEA STORY ZA KUTUNGA
Ungana na Shigongo lazima utoke yaani nilikuwa kama nacheki movie
Mwaka 2001 ulikuwa tayr kazini..mpoka leo hii hujaoa...Hongera sana. Make umefaidi sana...make 16 years ulikuwa unakula raha tu..safi sana..Ila pole sana pia.sijaukwaa ndugu yangu. nipo fit kalikiti. nipo fit kabisa game nyingi nlikuwa natumia condom na pia mimi huwa sidandiii tu mwanamke namwandaa kwanza mpaka awe tayari ndo naingiza. ninyi mnao dandia tu kama unadandia baiskel ambayo bado nayo huwa inasukumwa kwanza.... ndo mna haribu. hata hivyo nlishaacha hiyo michezo sasa natafuta tu wife.hayo ni ya zamani si sasa.