Thomas10
JF-Expert Member
- Mar 9, 2017
- 856
- 2,314
Wasalaam!!
Nashuhudia ongezeko la Wanawake hasa umri kati ya miaka 20-30+ kuota ndevu. Binafsi naliona km tatizo, maana awali hakukua ongezeko la namna hii..
Pamoja na kwamba walikuwapo wanawake wenye asili hii, lakini kwa sasa naona wanaongezeka tena kwa kasi haswa!!!
Sasa najiuliza, nini chanzo cha hili (naweza kusema ni tatizo) na nini njia ya kuepukana nalo..
Sipendi kumuona binti yangu anaota ndevu, najua hata mumewe hatapenda pia, na hata binti mwenyewe hatapenda..
Naomba kwa mwenye kujua namna ya kumkinga mtoto wa kike kuota ndevu apite hapa atoe ushauri wake..
Bado Asubuhi