RICARDO KAKA
JF-Expert Member
- May 26, 2012
- 865
- 338
Hahahahahahahahah! Hayo ya paka ndo yanakuwaje aiseee!Hata macho pia wengine huyabadilisha rangi sijui wanawekaga kitu gani kile yanakuwa kama ya paka vile
Hahahahahahahahah! Hayo ya paka ndo yanakuwaje aiseee!Hata macho pia wengine huyabadilisha rangi sijui wanawekaga kitu gani kile yanakuwa kama ya paka vile
Hahaa!! Vyote hivyo vinatengenezeka, kuna wanaofanyiwa operation maalum za koo ili sauti iwe nyororo na wengine sura ili wawe na smile fulani hivi(Hayo yako ulaya na marekani zaidi) ila kibongobongo unajifunza namna na kutega sauti na tabasamu fulani hivi fake ili uonekane model fulani mkalii kumbe zagazaga tu.Najua zinapopatikana fake hair...fake kope...fake rangi....but naomba unielekeze tafadhali ni wapi zinapopatikana FAKE VOICE n FAKE SMILE...NIjinyakulie na mie....
Utoto nao tabu tubu....HATA HAMUELEWI MKIDEKEWA...WACHA VIBABU VINAOVELEWA MAMBO VIENDELEE KUTUPETI PETI NYIE KAENI KULALAMIKA FAKE SMILE...NA FAKE VOICE...NA VIJI_SIX PACK VYENU VYA PLASTIC SURGERY....
Hahaa!! Vyote hivyo vinatengenezeka, kuna wanaofanyiwa operation maalum za koo ili sauti iwe nyororo na wengine sura ili wawe na smile fulani hivi(Hayo yako ulaya na marekani zaidi) ila kibongobongo unajifunza namna na kutega sauti na tabasamu fulani hivi fake ili uonekane model fulani mkalii kumbe zagazaga tu.
Vibinti siku hivi viko busy vyumbani na vyioo vya kujitazama kufanya mazoezi ya kutabasamu kimtegomtego, na kufanya mazoezi ya kubana pua.
Wenyewe wanaita kupiga jeki
Hahahahahhahahahahahhaaaaa. Mbavuuuuuu zangu jaamani. Jeki ndio habari ya madada siku hizi tehtehtehteh