Vyeti-naaam umenisomaraia wa wapi huyo
![]()
Ommy Dimpoz ametaja sababu kubwa ya kumuweka mpenzi wake wazi ni kupunguza kasi ya wasichana wanaomwinda.
Akiongea kwenye kipindi cha Planet Bongo, kinachoruka kupitia EA Radio, Ommy Dimpoz alisema ameamua kumweka wazi mpenzi wake ili apunguze usumbufu.
“Unajua saa hizi nimeamua kumweka wazi mpenzi wangu ili wajue yupo na kupunguza usumbufu kwa watoto wa kike ambao wanadhani labda niko single, japo yupo mbali lakini kufanya hivyo inasaidia.”
![]()
Huyu ndiye mpenzi wa Ommy Dimpoz
yule ni msanii.... ujumbe umewafikia vichakan wote wanaotaka jamaa akatie gogo kwaoHahahaaa, inawezekana kweli mkuu ila hata usipokunya kila kichaka basi sio ndio utangaze.
Wanaume hatuna hulka ya kusema sema mambo hovyo, hiyo ni tabia ya kike, wanawake ndio hua wanapenda kusema wanasumbuliwa na wanaume ili aonekane tu kua yeye ni wa maana sana, mwanaume unapokuja kusema eti unasumbuliwa na wanawake nashangaa kweli.
Hahaaaaa
Yaani naanzaje kulialia kuwa "wanawake wananisumbua",wakati ndo chakula changu...
Mfani mimi ndo baba mkwe umeleta posa kwangu kumtaka binti yangu alafu nikapata nafasi ya kuiona hii komenti yako basi ujue mke umekosa,ndo uandishi gani huu.mabinti bhana,acheni ni nowma kwa Kuji bebixaa tuu mpo vizuriii htary, hata Kama dimpoz kampost demu wakee hawatoachaa kwanza wataanza kumpondaa hyoo Dada ,eti hajui kuvaa wakati ukimuangalia ww hyoo bintii kavaa vizury haxaa cjui xhida nn kwaooo
Mi nahxii hii kxkiaa kuwa wapo wengii dunianai kwa idadi ndoo inawasumbuuaaa
mngekuwa wachachee nahxii tungewasumbua xanaa nyiie mabintiii
Nonsense!! Toka lini mwanamke akamsumbua mwanaume? Always wanaume ndo tunasumbua wanawake, mwambieni ommy aache undezi