Ommy Dimpozi: Mabinti wananisumbua sana

Bilionea Asigwa

JF-Expert Member
Sep 21, 2011
16,515
28,504


Ommy Dimpoz ametaja sababu kubwa ya kumuweka mpenzi wake wazi ni kupunguza kasi ya wasichana wanaomwinda.

Akiongea kwenye kipindi cha Planet Bongo, kinachoruka kupitia EA Radio, Ommy Dimpoz alisema ameamua kumweka wazi mpenzi wake ili apunguze usumbufu.

“Unajua saa hizi nimeamua kumweka wazi mpenzi wangu ili wajue yupo na kupunguza usumbufu kwa watoto wa kike ambao wanadhani labda niko single, japo yupo mbali lakini kufanya hivyo inasaidia.”



Huyu ndiye mpenzi wa Ommy Dimpoz
 
Watoto wakike wanataka wakadhibitishe maneno aliyoyaimba Ney ni kweli au ............. Kwa maana nyingine ni kama Ney kampa promo Dimpoz ili awatafune kiwepesi.
 
Watoto wakike wanataka wakadhibitishe maneno aliyoyaimba Ney ni kweli au ............. Kwa maana nyingine ni kama Ney kampa promo Dimpoz ili awatafune kiwepesi.
Teh teh teh. Labda ndo sababu kaenda kuchukulia demu nje
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…