Ombi rasmi la kukaribishwa JF

Naomba nijikite moja kwa moja kwenye swala langu, ndugu wana jamvi naombeni mnikaribishe jamvini, nimekua mfatiliaji mkubwa sana wa JF.

ila leo ndo imekua ck yangu ya kwanz kupost, Mungu awape nguvu ya kunikaribisha.
Lete na kapicha.
 
Lete kapicha ndugu mgeni, ili tujue tunayemkaribisha.
Pia hakikisha unamalizia kuandika maneno vizuri.
 
Yaani humu ubishe hodi usibishe hakuna wa kukuzuia usiingie labda Melo na vijana wake wenyewe wanajiita mods.
 
Back
Top Bottom