brownjosephati
JF-Expert Member
- Jun 7, 2024
- 319
- 501
Kwako Rais wetu mpendwa. Nina ombi langu kwako moja tu nalo ni kuendelea kumuamini na kumteua Majaliwa Kassim pindi utakapochaguliwa 2025.
Sababu yangu kuomba hilo ni kwa kuwa Bwana Huyu majaliwa ni kuwa huyu hana uchawa wala ujambawazi.
Na zaidi hajawahi kuwa na Makuu au kashfa yoyote wala historia yoyote mbaya na anaowaongoza zaidi ya machawa WENGINE umewatema(unawajua) ambao walikuwa wanachochea kumchukia waziri wako mkuu kwa sababu tu ya uadilifu wake.
Soma Pia: Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ni mchapakazi na mzalendo, aungwe mkono
sina zaidi