muhomakilo jr
JF-Expert Member
- Jul 28, 2013
- 14,851
- 12,933
ITV kipindi cha watoto na Mama ndege TBC daah,vipindi vizuri sana kwa watoto..
Hivi ukiishaitwa msabato ni lazima uwe mpuuzi???Nani kakwambia jumapili ni siku ya kusali? Nipe andiko linalokuunga mkono
Natumai wahusika wanalifanyia kazi kwani wanabusara tosha kabisa.Watoto wakikiristo wanaosali j' pili wakenda kusali,watoto wa mabudha,majah,wasabato na hata waislam siwataangalia hivyo vipindi.Tv haipo kwa ajili yenu nyinyi mnaoamini siku hiyo bali huwa ni za wanaoamini kutoka dini tofautitofauti.Hivyo ombi lenu halina mashiko.
Napendekeza mu-install app za hizo TV mkifika huko mnawawekea waangalie.Ahsanteni.
Jipu utalipata baada ya muda mfupi.Watoto wakikiristo wanaosali j' pili wakenda kusali,watoto wa mabudha,majah,wasabato na hata waislam siwataangalia hivyo vipindi.Tv haipo kwa ajili yenu nyinyi mnaoamini siku hiyo bali huwa ni za wanaoamini kutoka dini tofautitofauti.Hivyo ombi lenu halina mashiko.
Napendekeza mu-install app za hizo TV mkifika huko mnawawekea waangalie.Ahsanteni.
unajua lakini!? jinsi vinavyorekokidiwa!?Mkuu, utarekodi vipi wakati wote hapo nyumbani mnaondoka?
Ndo maana mtoa post kasema analeta ombi kwa vituo vya TV. Unajua maana ya 'ombi'??Watoto wakikiristo wanaosali j' pili wakenda kusali,watoto wa mabudha,majah,wasabato na hata waislam siwataangalia hivyo vipindi.Tv haipo kwa ajili yenu nyinyi mnaoamini siku hiyo bali huwa ni za wanaoamini kutoka dini tofautitofauti.Hivyo ombi lenu halina mashiko.
Napendekeza mu-install app za hizo TV mkifika huko mnawawekea waangalie.Ahsanteni.
Aksante sana mkuu, Mungu akuzidishie afya njema na maarifa tele.Ndo maana mtoa post kasema analeta ombi kwa vituo vya TV. Unajua maana ya 'ombi'??
ina maana nayeye anajua kuna watazamaji wengine ila na wale wanaopenda kupeleka watoto kanisani kwanza nao wangependa watoto wao waangalie hivyo vipindi. so, hili ni ombi kwa wahusika