Kwa nini na wewe nisikutuhumu vilevile, kwamba "hutumii akili zako mwenyewe kufikiri" bali "unatumia uti wako wa mgongo??" ktk kusukuma hoja zako......kwa maana unafuata mkumbo tu wa unaodhani mnawiana nao ktk mitazamo ya mirengo yenu?
Mimi nilifikiri mtu ukiishiwa hoja, basi bora unakaa kimya badala ya kuanza kutumia lugha ya kuudhi na kutweza ktk mijadala ya kistaarabu kama hii!!