Haya wasalimie wajinga wote unaoshirikiana naoSomo gani wamelipata Arusha mkuu? Ukweli mwingine ni kwamba katika hili la kuitana wajinga, bila shaka kila mtu anatafsiri yake kuhusu ujinga wa mtu, wale ambao wewe unawaita hapa kuwa ni wajinga pengine wewe wanakuita ni mjinga wa kiwango kilichopitiliza! Tuvumiliane tu.