Jodoki Kalimilo
JF-Expert Member
- Feb 12, 2012
- 12,502
- 11,091
Daah lengo la kutaka wenye magari wasichangie kumbe ni kupunguza jam ya watu kwenye uzi wako maana umeandika vitu vya kushangaza, kwahiyo huyo mtu anapanda daladala kutegea kulipa buku alafu jirani yake atoe jero wajirudishie change.
Na huyo mwenye jero financial status yake ikoje mpaka iathirike kutokana na huyu mzee wa buku
Hii hata mie "mtembea kwa miguu" nakataa labda waje wenzako wapanda daladala
Na huyo mwenye jero financial status yake ikoje mpaka iathirike kutokana na huyu mzee wa buku
Hii hata mie "mtembea kwa miguu" nakataa labda waje wenzako wapanda daladala