Brojust
JF-Expert Member
- Sep 17, 2016
- 328
- 905
Salaam wanajukwaa
Hii mada itawahusu wapanda daladala watu ambao bado tunajitafuta (wenye magari yenu hatutaki ujuaji )
Unapo panda daladala mfano umekaa na mtu, alafu kondakta akaanza kuchukua hela, mfano mnapoenda nauli ni miatano, sasa wewe ukatoa miatano alafu jirani yako akatoa buku alafu akasema naomba hiyo miatano alafu akampa konda buku.
Ogopa sana hii kitu, na pia ndio maana watu wanashauri hela unayotoka nayo nyumbani kwenda kwenye mihangaiko iombee sana.
Humu kwenye madaladala kuna mambo mengi sana ya kishirikina.
Nawasilisha.