Ofisi za uhamiaji punguzeni gharama za passport

Umeambiwa ni gharama kubwa hyo hati ya kisafiria?? Ondoa hofu ni bure na ukipigwa haizid 50 elfu,ila ukiitaka ndani ya masas 36 laki 2.5 mpk 3 fasta fasta mjini
 
Umeambiwa ni gharama kubwa hyo hati ya kisafiria?? Ondoa hofu ni bure na ukipigwa haizid 50 elfu,ila ukiitaka ndani ya masas 36 laki 2.5 mpk 3 fasta fasta mjini
Uhamiaji ya wapi wanatoa Bure, manake juzi nlikua geita wakadai 100000 alaf nsubir kwa miezi 2, NKATEMANA NAO
 
Tatizo sio gharama, tatizo hizo procedure ya kuipata, complicated, utazungushwa hadi. Utalia, mashahidi 3 wadhamini 2, pia ushahidi wa trip yako, hili la trip ndio kikwazo, passport ni moja ya idefication hivyo ni kutolewa kama vitambulisho vya taifa, bila ya vikwazo.
 
Back
Top Bottom