Ofisi za CHAUMA (Hashim Rungwe) zinapatikana maeneo gani?

Habari wakuu, naomba kwa anayefahamu zilipo ofisi za chama cha CHAUMA cha hashim Rungwe kwa Dar, anijuze zilipo, nataka kujiunga na ikiwezekana anifafanulie na taratibu za kujiunga. Ahsanteni
Mkuu ulizipata? Nami natataka nigombee wa mtaa kupitia chauma
 
Back
Top Bottom