TV4Sale Ofa ya TV

Dazla tech

Member
Nov 10, 2023
34
17
TV ziko poa kabisa na ni mpya zilikuwa sampo dukani bei yake ni Tsh170,000/= mikoani pia tunatuma ila gharama ni za kwako mwenyewe, tunapatikana Kariakoo mtaa wa Msimbazi karibia na jengo la simba. TUPIGIE KWA +255 655226738. Karibuni sana ndugu zangu.

IMG-20240304-WA0003.jpg
 
Duuh nch32 halafu led kwa hiyo bei ndo offa wakati hizo mpya 145,000
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom