malikafif84 Member Feb 6, 2013 39 31 May 29, 2017 #1 Serikali imetangaza ofa ya siku 3 kuanzia June 2 hadi June 4, 2017 Watanzania wataingia bure kwenye mbuga za wanyama nchini kote.
Serikali imetangaza ofa ya siku 3 kuanzia June 2 hadi June 4, 2017 Watanzania wataingia bure kwenye mbuga za wanyama nchini kote.
Muyobhyo JF-Expert Member Oct 9, 2014 8,149 6,544 May 29, 2017 #2 kama ni kweli basi tunaonekana ni malimbukeni, mie nilidhani siku zote
malikafif84 Member Feb 6, 2013 39 31 May 29, 2017 Thread starter #3 Akajasembamba- said: kama ni kweli basi tunaonekana ni malimbukeni, mie nilidhani siku zote Click to expand... Ofa yenyewe haina raha kwanza ni mwezi wa Ramadhan, pili siku ni chache kabla hujafika mbugani ofa itakuwa imeisha
Akajasembamba- said: kama ni kweli basi tunaonekana ni malimbukeni, mie nilidhani siku zote Click to expand... Ofa yenyewe haina raha kwanza ni mwezi wa Ramadhan, pili siku ni chache kabla hujafika mbugani ofa itakuwa imeisha
Ifumange JF-Expert Member Oct 21, 2016 902 1,071 May 29, 2017 #4 Mbona hata hivyo gharama ya kuingia mbugani ni rahisi kuliko safari yenyewe kwa sisi wa kanda ya huku kwetu
Mbona hata hivyo gharama ya kuingia mbugani ni rahisi kuliko safari yenyewe kwa sisi wa kanda ya huku kwetu
Muyobhyo JF-Expert Member Oct 9, 2014 8,149 6,544 May 29, 2017 #6 malikafif84 said: Ofa yenyewe haina raha kwanza ni mwezi wa Ramadhan, pili siku ni chache kabla hujafika mbugani ofa itakuwa imeisha, ni kama kifurushi cha Tigo Click to expand... hawa jamaa kwa masoko ni ovyo kabisa
malikafif84 said: Ofa yenyewe haina raha kwanza ni mwezi wa Ramadhan, pili siku ni chache kabla hujafika mbugani ofa itakuwa imeisha, ni kama kifurushi cha Tigo Click to expand... hawa jamaa kwa masoko ni ovyo kabisa
kirikou1 JF-Expert Member Nov 8, 2016 4,814 6,513 May 29, 2017 #7 Kuingia is not a big deal, ishu kufika huko mfn kutoka tu moro to udzungwa ni mtihani japo fee ni fair kabisa
Kuingia is not a big deal, ishu kufika huko mfn kutoka tu moro to udzungwa ni mtihani japo fee ni fair kabisa
Perfectz JF-Expert Member May 17, 2017 9,009 28,108 May 29, 2017 #8 Basi vema ila usije fika ukaambiwa pesa ya fomu au kibali 20K