Obama achochea maandamano dhidi ya Trump

Tofautisha maisha hali na tamithilia.
Sio kwamba sijui tofauti ya tamthilia na maisha ,hivi unajua kuna episode moja ya The Simpson's walionyesha Trump atakuwa Raisi wa Marekani ? Kuna vitu vingine vipo staged katika hali ya kushangaza sio kila 1+1=2
 
typical africans...... obama was the worst president in the history of america, typica africans nadhan atasababisha african american wengine wasichaguliwe tena kwa sababu ya failed policy zake, obama he should look himself in the mirror amesababisha chama cha democrat kupata the heaviest defeat ktk american election since usa was formed and he doesnt seems to adress that! chama cha democrat sasa ivi hakieleweki nani ni nani kimesambaratishwa vibaya na republican ktk uchaguz kwa sababu ya failed policy za obama, republican wana control senate and house....... yy ana bweka bweka ujinga tu mwenzie hillary aliyepoteza uchaguz kakaa kimyaaaaa!!! cjui ndo anaogopa trump asije kufufua issue ya clinton foundation
 
Japo ni kweli kwamba ni nadra marais wastaafu Marekani (hata Bongo) kutoa kauli za kukosoa utendaji wa serikali iliyoko madarakani, lakini kitu hiki kimewahi kutokea mara kadhaa Marekani. Mfano tu, Bill Clinton akiwa mstaafu aliwahi kuukosoa mpango wa mafao ya afya uliobuniwa na serikali ya Obama na ukapewa jina "Obama Care". Clinton aliita hiyo "Obama Care" kuwa "The craziest thing in the world!"
huu si mlingano sawa kwakuwa Donald Trump anatoka chama tofauti na anacho toka Obama.
 
Back
Top Bottom