StudentTeacher
JF-Expert Member
- Jan 30, 2019
- 4,009
- 4,166
Mwanamke hubadilika mda wote, hata hao wacha Mungu wakiolewa ata ushirikina wanafanya kulinda ndoa zao, mwansmke ni malezi kutoka kwao nyumbani sio kingineMCHA MUNGU na MCHA DINI NI watu wawili tofauti.
MCHA MUNGU anaishi kwa kumtii Mungu moyoni mwake tena kwa hiyari bila shurti lakini MCHA DINI anaishi kwa kuwatii viongozi wa dini yake zikiwemo sheria walizozitunga kwa ajili yake!
MCHA MUNGU anatambua fika kwamba kila alitendalo liwe la Siri au la wazi Mungu anamuona lakini MCHA DINI anaishi kinafiki akiyafurahisha macho ya viongozi wa dini yake ambao anajua fika kwamba upeo wao wa kuona una mipaka(wanaona ya wazi,ya sirini hawayaoni)
UPENDO WA MCHA MUNGU unachochewa na PENDO LA MUNGU ndani yake(haukauki) na upo consistent lakini UPENDO WA MCHA DINI Unaexpiry date na unabadilikabadilika kulingana na 'upepo'
Ukiingia kwenye Ndoa na MCHA MUNGU tarajia kupendwa kama anavyojipenda yeye lakini ukioa au Kuolewa na MCHA DINI jiandae kisaikolojia kwa lolote(usibweteke)
Nyumba(nafsi) ya MCHA MUNGU imejengwa juu ya Mwamba haitikiswi na upepo,dhoruba wala kimbunga lakini nyumba(nafsi) ya MCHA DINI imejengwa juu ya mchanga,upepo kidogo tu chali.
MCHA MUNGU hapatikani kirahisirahisi lakini WACHA DINI wapo wengi tena kila mahali na wanapatikana kirahisi sana!
Kwa mamlaka niliyonayo nimelazimika kuandika uzi huu kwa nia njema tu baada ya kuona watu wengi Wanachanganya Kati ya MCHA MUNGU na MCHA DINI. Niishie hapa kwa leo
Mwanamke yupi MCHA MUNGU au MCHA DINI?Mwanamke hubadilika mda wote
We nan kakwambiaMwanamke hubadilika mda wote, hata hao wacha Mungu wakiolewa ata ushirikina wanafanya kulinda ndoa zao, mwansmke ni malezi kutoka kwao nyumbani sio kingine
Msamehe bure hajawahi kukutana na Mwanamke MCHA MUNGU bali anakutana na wahuni waliojificha kwenye dini(WACHA DINI)We nan kakwambia
Hawajui kutofautisha mtu mwenye hofu ya Mungu na wacha Mungu hawa n watu wawili tofauti kabisaMsamehe bure hajawahi kukutana na Mwanamke MCHA MUNGU bali anakutana na wahuni waliojificha kwenye dini(WACHA DINI)
Tabia ya Wacha DINI hiyo!Kataa ndoa.
Achana na mambo ya kuoa au kuolewa. Tabia ya mwanadamu ni kama hali ya hewa, muda wowote hubadilika.
Malezi hayamzidi nguvu SHETANIMwanamke hubadilika mda wote, hata hao wacha Mungu wakiolewa ata ushirikina wanafanya kulinda ndoa zao, mwansmke ni malezi kutoka kwao nyumbani sio kingine
Umepiga kwenye utosi mtumishi.MCHA MUNGU na MCHA DINI NI watu wawili tofauti.
MCHA MUNGU anaishi kwa kumtii Mungu moyoni mwake tena kwa hiyari bila shurti lakini MCHA DINI anaishi kwa kuwatii viongozi wa dini yake zikiwemo sheria walizozitunga kwa ajili yake!
MCHA MUNGU anatambua fika kwamba kila alitendalo liwe la Siri au la wazi Mungu anamuona lakini MCHA DINI anaishi kinafiki akiyafurahisha macho ya viongozi wa dini yake ambao anajua fika kwamba upeo wao wa kuona una mipaka(wanaona ya wazi,ya sirini hawayaoni)
UPENDO WA MCHA MUNGU unachochewa na PENDO LA MUNGU ndani yake(haukauki) na upo consistent lakini UPENDO WA MCHA DINI Unaexpiry date na unabadilikabadilika kulingana na 'upepo'
Ukiingia kwenye Ndoa na MCHA MUNGU tarajia kupendwa kama anavyojipenda yeye lakini ukioa au Kuolewa na MCHA DINI jiandae kisaikolojia kwa lolote(usibweteke)
Nyumba(nafsi) ya MCHA MUNGU imejengwa juu ya Mwamba haitikiswi na upepo,dhoruba wala kimbunga lakini nyumba(nafsi) ya MCHA DINI imejengwa juu ya mchanga,upepo kidogo tu chali.
MCHA MUNGU hapatikani kirahisirahisi lakini WACHA DINI wapo wengi tena kila mahali na wanapatikana kirahisi sana!
Kwa mamlaka niliyonayo nimelazimika kuandika uzi huu kwa nia njema tu baada ya kuona watu wengi Wanachanganya Kati ya MCHA MUNGU na MCHA DINI. Niishie hapa kwa leo🙏
Mapenzi bila PENDO la MUNGU ni kama Bwawa bila chemchem. Kukauka ni kugusa tuIla mapenzi hayajui Mungu