Nyungu nyungu kipindi hiki cha mvua

mtungu

JF-Expert Member
Dec 15, 2021
248
403
Sijui jina halisi ni lipi ila sisi tumezoe kuita ivyo nikama funza ila huwezi kumuona kwa macho wanapenda kukaa kwe vidole vya miguu wanawasha sana na kuuma ukipatumbua sehem yenye nyungu nyungu panatoa maji si damu

Na ndo hua afazali yako hapata washa tena au dawa nyengine upachome na moto ndu hutulia tulitoka Kijiji tumezoe ni vitu vya kawaida sababu tunajua ni maji maji hasa machafu
 
hujalewa kweli wewe... maana uzi wake ni kama mswaada ambao haujulikani ni swali au taarifa ama hoja yani yaelea...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom