Nyumba za National Housing (NHC) Dar zinapatikanaje?

Hili soko limeshikwa na tabaka flani, wenye nazo kwasababu gharama pia za ujenzi ziko juu, nafikiri mapinduzi unayoyaongelea ni kuwepo na watu wengi wanaojenga kama biashara, ila je watawezaje na ujenzi ulivo ghali?
Soko la "real estate" Tanzania bado sana, kupata nyumba NHC kama ni mtanzania wa kawaida ni ngumu sana kwasababu wenye pesa wanakabia kwa pesa. na wanaojenga ni wa aina hiyo hiyo

kila anaejenga Tanzania analenga matajiri ila mapinduzi ya real estate yanahitajika Tanzania. kila anaejenga anawaza mamilion
 
Back
Top Bottom