ommytk
JF-Expert Member
- Jul 30, 2015
- 514
- 1,135
Wadau natamani leo nione mawazo yetu hivi nyumba ya vyumba vinne ambazo tunaamini za kisasa na zile za vyumba vitatu tunaamini za zamani ipi Bora
Kwa mimi naona vyumba vitatu sawa maana nyumba kuna wakati inakuwa kubwa mnabaki na familia chache ata kufanya marekebisho inakuwa inakushinda nyumba ndogo ni nzuri zaidi kwa ikiwa umri unasogea