ADESIGN
Member
- Apr 8, 2020
- 31
- 28
Nyumba ipo wazi kinyerezi mbuyuni, vyumba vitatu, kimojawapo ni master bedroom, public toilet ipo, jiko la wazi na sebule, ndani ya ukuta kuna nyumba 7, eneo lina utulivu ndani.
Kodi ni 450,000 kwa mwezi, na tunapokea kodi ya miezi 6
Mimi sio dalali na sihitaji dalali, wewe kama ni muhusika unaetaka kukodi ndio upige hii namba :
Mwenye nyumba : 0684101707
Kodi ni 450,000 kwa mwezi, na tunapokea kodi ya miezi 6
Mimi sio dalali na sihitaji dalali, wewe kama ni muhusika unaetaka kukodi ndio upige hii namba :
Mwenye nyumba : 0684101707