Kilobyte
Member
- Mar 29, 2021
- 32
- 36
Salaam wakuu.
Katika pitapita zangu mitandaoni huku na kule, nilikutana na mjengo fulani wa macontainer.
Kwa haraka haraka nikapiga hesabu nikaona ni more affordable kama unakimbia maisha ya kupanga.
Nikahamishia research JF nikakumbana na bwana mmoja ndege JOHN aliyewahi kuwa na wazo kama langu, akapewa ushauri na mimi nikaubeba. Nikajifunza kuwa sio affordable kwani inaangukia kulekule kwenye budget kamili ya nyumba ya matofali.
Yupo ambae alituma kibanda cha mabati (kwa dhihaka).
Nami nikaona pia kuwa c mbaya sana hadhi yake kwa kuanzia maisha. Hivyo nipo na ombi kwa wenye ujuzi na hii fani, wanipe mwangaza juu ya gharama za kujenga banda mfano wa hilo, faida zake na hasara zake, lifespan yake pia, ama kubwa zaidi kias cha kuishi bachelor mmoja kipindi anajipanga kuinua nyumba ya matofali angalau baada ya miaka mitatu mbele.
Pia kama upo ushauri mzuri zaidi nitafurahi kuusikia. Nadhani nimetosheka na fedheha za nyumba za kupanga.