Nyumba Tanga-Kange Block 25mln inauzwa!

kipumbwi

JF-Expert Member
Feb 3, 2015
3,160
9,068
Habari, nauza nyumba na Mimi ndio mhusika,ipo Tanga mjini,Kange Area block D.

Nyumba ina vyumba vitatu, viwili ni self contained na cha 3 ni master bedroom,ina varandq(sitting kubwa) dinning na kitchen.
Niliweka magrili na wiring baada ya ujenzi,ujenzi ulizingatia uimara kwa kuweka msingi wa Mawe,mkanda wa Nondo baada ya msingi,mkanda wa Nondo kabla ya lenta.

Kiwanja ni cha kwenye kona,kina ukubwa wa mita 500,maji umema vyote vipi. Stand ya daladala ya mbugani ipo mita 100 kutoka kwenye kiwanja,kiwanja kimepimwa na offer ipo ya wizara ya ardhi.
IMG-20241022-WA0023.jpg
IMG-20241022-WA0020.jpg

☝️☝️ Upande wa uwani kuna mashimo mawili ya chemba za majitaka,kubwa futi 12 na dogo futi 6 na bado kuna eneo la kujenga nyumba ya uwani!!

Kwa mawasiliano 0742 666736 WhatsApp
 
Mbona nasikia maeneo hayo ni maeneo ya Chuo na watu wengine washalipwa na chuo tayari.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom