Complex
JF-Expert Member
- Mar 20, 2013
- 4,119
- 4,776
Hivi yale magorofa ya magufuli pale chuo kikuu yamegarimu kiasi gani vile...10billion gawanya kwa 20.......
Na tena ujenzi ule wa maghorofa kuna vingi vimeingia. Kuna nondo mule, kuna formwork za kutosha, kuna ukodishwaji wa matingatinga, kuna high grade reinforced concrete, kuna mirunda ya kukodi and stil ilikwenda kwa 10B whole project.