Nyumba inauzwa na benki, tshs.22 milion, Ulongoni B, Gongolamboto

Kiwanja kina ukubwa wa SQM. 450.
Umiliki ni MKATABA WA MAUZIANO.

Vyumba 3 (Mastac1) pia Ina Sebule,Jiko,Dining-room,Store na Choo cha Familia ndani.

___________

ANGALIZO
Malipo ya Dalali ni 10%
Kuona ni Tshs.50,000.
(Unalipa wewe MNUNUZI)

Tafadhali Wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratibu zangu.

+255714591548

__________jj

Ukihitaji kukagua taarifa mapema tafadhali.
Madalali wa TZ ni wangese sana. Hiyo 50k ya kuona tu nyumba mnadhani inaokotwa? 10% ulipwe kwa kazi gani kubwa uliyofanya? Halafu anajitokeza mpumbavu na kulaumu wachina kuwapelekea moto madalali wa Kkoo.
 
😀😀😀wamekuudhi

Wanachukulia poa sana issue ya hela.
 
Madalali wa TZ ni wangese sana. Hiyo 50k ya kuona tu nyumba mnadhani inaokotwa? 10% ulipwe kwa kazi gani kubwa uliyofanya? Halafu anajitokeza mpumbavu na kulaumu wachina kuwapelekea moto madalali wa Kkoo.
Hao wanaouza mali zao ndio mamburula, mitandao imejaa kwanini mwenye mali asitangaze mali yake? Hao madalali wanakula kwa muuzaji na kwa mnunuzi, nawachukia mambwa ambao hawataki kufanya kazi halafu washirikina balaa
 
Reforms zinahitajika hadi kwenye udalali
 
Kiwanja kina ukubwa wa SQM. 450.
Umiliki ni MKATABA WA MAUZIANO.

Vyumba 3 (Mastac1) pia Ina Sebule,Jiko,Dining-room,Store na Choo cha Familia ndani.

___________

ANGALIZO
Malipo ya Dalali ni 10%
Kuona ni Tshs.50,000.
(Unalipa wewe MNUNUZI)

Tafadhali Wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratibu zangu.

+255714591548

__________jj

Ukihitaji kukagua taarifa mapema tafadhali.
UDalali ni wizi wa Wazi wazi...hulipi kodi, huna ofisi.
Mali sio yako alafu eti kuiona tu nyumba 50k...ndio maana mnakufa maskini kwa hela za Dhulma.
Ni yako iyo nyumba
 
Kiwanja kina ukubwa wa SQM. 450.
Umiliki ni MKATABA WA MAUZIANO.

Vyumba 3 (Mastac1) pia Ina Sebule,Jiko,Dining-room,Store na Choo cha Familia ndani.

___________

ANGALIZO
Malipo ya Dalali ni 10%
Kuona ni Tshs.50,000.
(Unalipa wewe MNUNUZI)

Tafadhali Wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratibu zangu.

+255714591548

__________jj

Ukihitaji kukagua taarifa mapema tafadhali.
Acha utapeli,
Benki imekupa kazi ya kuuza au mwenye mali kakupa kazi ya kuuza?
 
Kiwanja kina ukubwa wa SQM. 450.
Umiliki ni MKATABA WA MAUZIANO.

Vyumba 3 (Mastac1) pia Ina Sebule,Jiko,Dining-room,Store na Choo cha Familia ndani.

___________

ANGALIZO
Malipo ya Dalali ni 10%
Kuona ni Tshs.50,000.
(Unalipa wewe MNUNUZI)

Tafadhali Wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratibu zangu.

+255714591548

__________jj

Ukihitaji kukagua taarifa mapema tafadhali.
Kuna nyumba nimeifananisha hapo jirani na shule ya bangulo nikahisi ni hii
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom