hahaha umeona eeh,jaama factor yake kubwa kua ipo dar,hajali ipo wapi
Hawazi lolote, hata malezi ya watoto wake kwake siyo muhimu. Huduma za jamii, uhuru binafsi na miundombinu, accessibility na social factors zingine kwake hazina msingi. Kikubwa Dar. Kweli binadamu tuko tofauti sana!