radhiya

Senior Member
Aug 19, 2015
165
255
Nyumba inauzwa Goba, Dar es Salaam.
Mahali: Lilian Kibo kwa Mwakifulefule.

Sifa za Nyumba:
*Nyumba haijakamilika, imefikia kwenye hatua ya finishing.
*Iko mita chache kutoka barabara ya Goba.
*Iko upande wa kushoto ukitokea mbezi beach, na upande wa kulia ukitokea mbezi stendi ya Magufuli.
*Ina vyumba vitatu vya kulala, chumba kimoja ni master, sebule, jiko na choo cha ndani.
*Ina nafasi iliyobaki nje.
*Ina umeme na maji.

Ukubwa wa Eneo: SQM 500.
Bei: Tzs Milioni 85.
Nyaraka: Hati ya mauziano ya serikali ya mtaa.

Gharama ya kwenda kuona Eneo itahusika.
Mawasiliano: 0784 829565 au 0767 833345
@prathlimited
 

Attachments

  • a05ea407-2748-4b71-b183-b303a1b8a5b9_0_watermark.jpeg
    a05ea407-2748-4b71-b183-b303a1b8a5b9_0_watermark.jpeg
    246.3 KB · Views: 1

Similar Discussions

Back
Top Bottom