IROKOS
JF-Expert Member
- Aug 13, 2011
- 10,182
- 7,833
Jibuni hoja kwa nini kipindi hicho hakupata kwenye hayo mashirika au other higher offices ?Acha uongo, kama darasa la saba walikuwa wanapata kazi sembuse graduate! Hivi uongo ni kipaji?
Jibuni hoja kwa nini kipindi hicho hakupata kwenye hayo mashirika au other higher offices ?Acha uongo, kama darasa la saba walikuwa wanapata kazi sembuse graduate! Hivi uongo ni kipaji?
Haikuwa lazima wote kuajiriwa benki kuu, after all mshahara serikalini ulikuwa mmojaJibuni hoja kwa nini kipindi hicho hakupata kwenye hayo mashirika au other higher offices ?
Mleta mada madako'anokho! Hiyo nyumba bora kabisa miaka hiyo!Kikwete alipomaliza digrii yake ya uchumi chuo kikuu cha Dar es salaam 1975 hakuwa na nyodo kama ambavyo baadhi ya wasomi wetu wakipata digrii hukataa kwenda kufanya kazi maeneo yenye shida.Kikwete alikwenda bila kinyongo akijua kuwa hata wale wa Singida ni wananchi wanaohitaji pia kuhudumiwa na mtu mwenye digrii.
Pamoja na usomi wake aliamua kukitumikia chama ambacho kilikuwa hakilipi maslahi mazuri kama mashirika ya umma.Uvumilivu wake ulisaidia baadaye zile dua za wanyonge kama hao wa singida kumwezesha kufika mbali
Miaka ile angeweza kataa akapata kazi nzuri tu kwenye makampuni kibao yaliyokuwa Dar es salaaam
Angalia nyumba aliyokuwa akiishi msomi kama yeye wa miaka ile haina maji wala umeme.Kuna kijana yeyote wa UKAWA hata leo hii na kadgrii kake koko aweza kukaa maeneo kama haya? Angepewa nyumba kama hii BAVICHA mwenye kadgrii koko Jamii Forums yote ingejaa matusi ya kutukana serikali hadi basi.
Nimeamini kweli mvumilivu hula mbivu.Vijana jifunzeni kwa Kikwete sio ukipata kadgrii unakuwa limbukeni mwezi wa kwanza tu wa ajira unataka kukaa kwenye ghorofa kama ni mwalimu wa shule ya msingi unajitia siwezi kaa nyumba ya udongo.Hiyo nyumba aliyokaa Kikwete akiwa na digrii ni ya udongo sembuse nyie wengine na vi-certificate?
KWA KUPENDA SIFA TU..SASA SISI INATUSAIDIA NINI KAMA NCHI IMEMSHINDA
Unaota? Unaweza kufananisha maendeleo aliyoleta Kikwete na Rais yupi wa Tanzania hii kabla yake.
Tuanze sasa hivi kulinganisha, mimi nnakuambia changanya wote wa kabla yake kwa yeye pekee na bado hawampati hata nusu tu.
Shule wote hao walijenga ngapi wakati wao? Linganisha na Kikwete pekee. Ukimaliza hilo, njoo vyuo vikuu, barabara, hospitali za rufaa, zahanati nchi nzima, viwanda, biashara, utalii, gas na mafuta, misingi bora ya utawala.
Tuanze tuone ni nani nchi ilimshinda.
So ndio kama hiyo ya Katibu msaidizi wa chama! Zile za mfano idara za takwimu, uchumi na mipango walikuwa wanachukuliwa wenye ufaulu wa juu. Mistake kudhalilisha graduates wa enzi zile kuwa walikuwa wanasombwa tuu bila kujali ufaulu. Muhimu ni kuwa hata hiyo GPA 2.1 kazi unapata tuu hata kwenye chama
Ukweli ni kwamba hakukuwa na classification kwy degree.
Dada yang Faiza we tunakujua kwa mahaba yako na chama tawala ndomaana mtu yeyote akimkosoa kiongoz flan wa chama chako huwa unampinga strongly!
Sawa sikatai ni kweli Kikwete amejitahid kwa kias fulan lakini hayo maendeleo aliyoleta HAYAFANANI na rasilimali zilizochukuliwa na kutumika wakat wa uongozi wake.
Unanchekesha sana eti; zahanati nchi nzima, viwanda, utalii, biashara.......what?? Are u serious au umeandika tu just kujifurahisha?
Km kaimarisha viwanda na biashara basi nchi hii ni ya ajabu sana coz hadi leo bado tunaagiza hata tooth pics, pamba za masikio etc kutoka China! Kuhusu utalii; hebu jaribu kufanya tathmin ya vivutio vingapi vipo Tanzania na watalii wangap tunawapata kwa mwaka. Anyway ndo mawazo yako ngoja nikuache tu
umeanndika kama senge fulani hivi.Kwa twarifa yako ufaulu wa JK haungeweza kumpa ajira sehemu yeyote nyeti usitake kudanganya watu hapa. Mahali pekee ni katika siasa ambako alionekana kupamudu kwa kutumia mdomo zaidi.
GPA yake ilikuwa sawa na ile Div 4 ya kidato cha nne jee unaweza mpeleka mchumi wa kiwango hicho kwenye shirika la umma linalotafuta watu mahiri? Kumbuka wakati huo ulikuwa wa Nyerere hakuna kumbeba mtu.
Uzi wako huu ni UPOTOSHAJI NA UONGO ULIOTUKUKA hivyo wadanganye vijana wadogo walioko hapo Lumumba wakati huu.
Msituzuge,kwa wakati huo hiyo nyumba ilikuwa na hadhi ya kuishi kiongozi kama yeye kama sivyo onyesha nyumba zote za wakati huo!