Nyuma ya mafanikio ya mwanaume

Natafuta Ajira

JF-Expert Member
Mar 25, 2020
8,137
22,019
Hakuna mwanamke yoyote nyuma ya mwanaume mwenye mafanikio zaidi ya mama yake na uyo mwanaume.

Mwanaume usidanganyike na huo msemo wa kijinga. Hata uyo mwanamke ambae upo nae nyakati za kujitafuta hawezi kuku-support kifedha au rasilimali yoyote.

The only thing she will provide is sex and when she find a better option along the way she will dump you.

Nyuma ya mafanikio yoyote ya mwanaume kuna maumivu, nidhamu, kukataliwa, hustles, failures, focus, resilience, hard work na sala za mama yake.

Women only come later and not before. They appear when the deal is done.

Focus my brothers
 
Aah wewe usinidanganye mimi najua kuna faida ya kuwa na mwanamke kuliko kutokuwa naye.. Bila mwanamke kufilisika rahisi ila ukimpata mwanamke wa kukupenda na kukujali anaweza kuanzisha miradi na akasimamia hasa ukiwa busy na kazi zako huko hence ana faida..
 
Uongo wa hali ya juu sana!

Si wanawake wote wana roho uliyoichora kwenye uzi wako.

Nakumbuka kipindi niko deep down niliwahi kupata mwanamke mmoja hivi, nilimweleza hali halisi kabisa kwamba am broke na siwezi ku provide chochote so asitegemee kupewa hela ama any financial support kutoka kwangu..

Binti wa watu alitahamaki kwa ule ukweli lakini hakuniacha wala kunidharau kulingana na situation niliyokua napitia!

Cha ajabu ni kwamba yeye ndie aliyekua ana hustle sana kunitafutia Hela kidogo za nauli nilipokua nahitajika kwenye interview za kazi maeneo mbalimbali ya nchi

Good enough, she was sexually addicted, kila mara alikuwa anaileta, naichapa kama kawaida na akikuta ugali dagaa basi ndio inakua Food of the day.. No kulaumu No kuchagua

All these blames should not Face all women..
 
Upo sahihi, ila vichwa ngumu hawatokuelewa abadani asilani.

20240311_114210.jpg

KaziKweliKweli/JobTrueTrue
 
Uongo wa hali ya juu sana!

Si wanawake wote wana roho uliyoichora kwenye uzi wako.

Nakumbuka kipindi niko deep down niliwahi kupata mwanamke mmoja hivi, nilimweleza hali halisi kabisa kwamba am broke na siwezi ku provide chochote so asitegemee kupewa hela ama any financial support kutoka kwangu..

Binti wa watu alitahamaki kwa ule ukweli lakini hakuniacha wala kunidharau kulingana na situation niliyokua napitia!

Cha ajabu ni kwamba yeye ndie aliyekua ana hustle sana kunitafutia Hela kidogo za nauli nilipokua nahitajika kwenye interview za kazi maeneo mbalimbali ya nchi

Good enough, she was sexually addicted, kila mara alikuwa anaileta, naichapa kama kawaida na akikuta ugali dagaa basi ndio inakua Food of the day.. No kulaumu No kuchagua

All these blames should not Face all women..
Wewe unaongelea mtu mmoja mmoja mimi naongelea hali jumuishi iliyopo kwenye jamii. Unapomtongoza mwanamke mpaka anakukubalia jua kwamba ashafanya short terms and long terms calculation na kujua atanufaika vipi na wewe.
 
komenti hii inakubali komenti hii inakataa msinichanganye bakini na mambo yenu! ila inaonekana kuna malaika na shetani inategemea umekutana na malaika yupi wa shetani au wa mbingu!...
kila mmoja akajichagulie malaika wake sasa
 
Uongo wa hali ya juu sana!

Si wanawake wote wana roho uliyoichora kwenye uzi wako.

Nakumbuka kipindi niko deep down niliwahi kupata mwanamke mmoja hivi, nilimweleza hali halisi kabisa kwamba am broke na siwezi ku provide chochote so asitegemee kupewa hela ama any financial support kutoka kwangu..

Binti wa watu alitahamaki kwa ule ukweli lakini hakuniacha wala kunidharau kulingana na situation niliyokua napitia!

Cha ajabu ni kwamba yeye ndie aliyekua ana hustle sana kunitafutia Hela kidogo za nauli nilipokua nahitajika kwenye interview za kazi maeneo mbalimbali ya nchi

Good enough, she was sexually addicted, kila mara alikuwa anaileta, naichapa kama kawaida na akikuta ugali dagaa basi ndio inakua Food of the day.. No kulaumu No kuchagua

All these blames should not Face all women..
Mnawatoaga wapi hawa wa hivyo dahh. Tunavyokutana navyo Mwisho unaona bora uishi kisingle single tuu.
 
Inategemea.

Kama mafanikio yako yametokana na kubebwa sana na mtu fulani, na huyo mtu ni mwanamke, basi umefanikiwa kupitia mwanamke....

Nina uhakika wapo wanaume wengi sana waliopitia huko
Msaada wa mwanamke sio unconditional.

-inawezekana anakusaidia kwa sababu unamjulia kwenye mambo ya kitandani

-inawezekana anakusaidia kwa sababu hana chaguo jingine(sio pisi kali)

-inawezekana anafanya uwekezaji kwako akiwa na matarajio atapata faida hapo badae.

Mwanaume jua ya kwamba unapomtongoza mwanamke mpaka anakukubalia tayari ashafanya short terms and long terms calculations na kujua atanufaika vipi na wewe.
 
Uongo wa hali ya juu sana!

Si wanawake wote wana roho uliyoichora kwenye uzi wako.

Nakumbuka kipindi niko deep down niliwahi kupata mwanamke mmoja hivi, nilimweleza hali halisi kabisa kwamba am broke na siwezi ku provide chochote so asitegemee kupewa hela ama any financial support kutoka kwangu..

Binti wa watu alitahamaki kwa ule ukweli lakini hakuniacha wala kunidharau kulingana na situation niliyokua napitia!

Cha ajabu ni kwamba yeye ndie aliyekua ana hustle sana kunitafutia Hela kidogo za nauli nilipokua nahitajika kwenye interview za kazi maeneo mbalimbali ya nchi

Good enough, she was sexually addicted, kila mara alikuwa anaileta, naichapa kama kawaida na akikuta ugali dagaa basi ndio inakua Food of the day.. No kulaumu No kuchagua

All these blames should not Face all women..
Mkuu hawa watoto tu wa mwaka 2000 wanazingua muda wao kwanza wa kukaa Na wanawake bado.. Me mkuu nikupe historia yangu tu Kwa ufupi wajifunze faida za kuwa na mtu... Niliajiriwa 2021 Taasisi fulani basi kweli nikapata mwanamke 2022 niwe mkweli pamoja na mapungufu yetu sote wanawake na wanaume ila nilikosana na mwanamke Kwa sababu ya pombe.. Kumbuka kipindi nakaa naye ndani tu ya mwaka nikapiga hatua sana Mpaka na ujenzi ni kaanza mixer kila kitu ndani na kausafiri ingawa mikopo pia ili husika... Ilikuja baadae tukaachana mwaka Jana.. Aisee ndani ya miezi Sita niliuza karibia vitu vya ndani vingi Nimesema hayo kuonyesha kwamba nyumba bila mwanamke haikamiliki wao ndo wenye jukumu la utunzaji na uangalizi.. Kijana wa kiume mambo ni mengi.. Anyway sasa hv naanza kurudi kwenye kukaa na mtu good news ni kwamba mwezi ujao tu mtu ndani ya nyumba uzuri kila kitu nimeiweka wazi na atavumilia... Mwenyewe mwenyewe unapoteza kijana hasa ulevi na punyeto na uchafu.
 
Msaada wa mwanamke sio unconditional.

-inawezekana anakusaidia kwa sababu unamjulia kwenye mambo ya kitandani

-inawezekana anakusaidia kwa sababu hana chaguo jingine(sio pisi kali)

-inawezekana anafanya uwekezaji kwako akiwa na matarajio atapata faida hapo badae.

Mwanaume jua ya kwamba unapomtongoza mwanamke mpaka anakukubalia tayari ashafanya short terms and long terms calculations na kujua atanufaika vipi na wewe.
Sio lazima umtongoze mwanamke ndo akusaidie,

Hata ukipewa kazi na mwanamke umesaidiwa, ukikopeshwa nk.
 
We tafuta ajira kwanza.. Siku ukipata kazi ya kuliwa million mbili halafu uishi mwenyewe au uwe na mtu ndo utajua tofaut..naongea Nina experience na hili suala
Ajira ipo mdogo angu muulize mama ako anapigwa miti na kuhongwa na nani atakupa habari zangu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom