Nyota ya Kafulila yaanza kung'ara

Ndo huo unafiki ninaousema, kama mliona ni mtu wa kufaa kutetewa kwa nini mkamfukuza kwenye chama? kwa nini msingeanza kumtetea wakati anafukuzwa?
Kama unafuatilia mpira Pogba alionekana haifai man u. Lakini sasa ana thamani ya pauni Mil 60. Fagason na umahiri wake alimtosa. Yawezekana alikuwa mvivu. Ni sawa na kafulila yawezekana alikuwa hajai vizuri. Ila makosa yakishatokea unayakumbatia au unarekebisha? Kuonyesha uwezo lazima CDM wampe sapoti.
 
Hivi endapo mahakama itajiridhisha na ushaidi upande wa mlalamikaji na kupewa ushindi wake,atalipwa mshahara na marupurupu yote kipindi ambacho hakuwepo bungeni?vipi kuhusu aliyeiba ushindi atalipa gharama alizotumia akiwa bungeni kama mkopo na mishahara aliyopokea?
 
Pia sijawahi kusikia hawa wasimamizi wa uchaguzi wakifikishwa mahakamani pale inapobainika dhahiri wamemtangaza mshindi mtu ambaye alishindwa.
 
Back
Top Bottom