IGUDUNG'WA
JF-Expert Member
- Oct 22, 2011
- 2,071
- 1,316
Ungeambatanisha na sred inayohusu malalamiko ya mwakyembe kwa masogange ningekukubali sanaKatika mengi aliyoyazungumza Mwakyembe mbele ya waandishi wa habari
alitaja kuwa huyo binti (Masogange) alikuwa anamfanyia nyodo..
Nimebaki na maswali tele kwa kweli...
Mwakyembe na Masogange walikuwa 'wanakutana'?
wapi? ...katika mazingira gani hadi Masogange amletee 'nyodo'?
Mawaziri huwa wanakutana na watuhumiwa ?
au hawa walikuwa wanaishi mtaa mmoja?
Hivi kuna mtu alie elewa hili suala la nyodo za Masogange kwa Mwakyembe?