Nyingine ya kufungia mwaka: Mzee Mwanakijiji awaombe msamaha wananchi

Hivi huyu jamaa hajaomba msamaha hadi leo pamoja na madudu anayofanya Sizonje? aka Baba Bashite
 
Watu mna moyo kweli; mnataka nisema Lowassa alikuwa chaguo sahihi? seriously?
MM do not deflect, contents katika uzi huu ni wazi. Mtu mwenye akili za kumtosha hawezi kumtetea Magufuli. Hata wanakijiji wenzio wa remote areas wanajua kwa matendo yake kuwa kuna nati zimelegea. Uwe na aibu MM, huyu mtu yupo naked kabisa, kwa kweli amekuwa ni aibu kwa taifa letu. Kumkosa Magufuli hakuna maana kuwa ni kumuunga mkono Lowasa. Na hii ndiyo deflection ninayoisema. Nimeshaandika sehemu nyingine kuwa simuungi mkono Magufuli kwa matendo yake, na wala Lowasa si chaguo langu kwa sababu nilizoeleza tayari katika uzi huu.
 
Back
Top Bottom