Nyie wanawake ,Ebu achane kupokea Simu za Mabwana zenu.

Anakwambia mumewe hayupo alafu baadae anataka apewe pesa wakati kamkosesha dili wanawake WAZARAMO ni wataalamu wa hii kitu.
 
hahahaha kwahiyo huwa unaichungulia kujuwa nani kapiga nani katuma sms ,au ni ya nini sms iliyotumwa..

ww si wa mchezo mchezo
nachungulia najua ni nani kapiga si kwa nia mbaya lakini kwa lengo kama ni mama yake nimwite ila watu wengine atakuta missed call .. sms huwa sijui naoteaje mara nyingi ikiingia nikichungulia huwa sikosei sababu huwa siombi hela kabla sijaiona .. ndiyo huwa naangaliaga sehemu anayoweka
 
mashallah uko good kwa kweliii
 
Kumpigia simu mtu alafu akapokea ambaye sio mwenye simu inakera
Umeonaeee nayote hiyo niwivu wakisikia ngiriiiiii macho wanayatoa hayo na pressure juu akisikia sauti ambayo hakutegemea sasa nawahivo ndo wachepukaji ilembaya simu zao sasa pattern utafikili utando wa buibui muda wote kwapani hawakai nayo mbali
 
huu utaratibu huwa sina kabisa inaweza kuita kama ina mziki mzuri nacheza tu hapo . sema nikiona sms ya hela nitajibebisha na kuomba hela muhamala nitapunguziwa kidogo
Misschagga unajua kulingia papuchi yako mpaka raha!
Assume unaamka unakuta haipo tena kimebaki kitundu kiduchu cha kukojolea sijui utajiaminia nini tena..!
 
Kuna mmoja nilipiga chini baada kumjibu vibaya Dada yangu,Halafu eti anaomba msamaha........
 
Back
Top Bottom