sinyora
JF-Expert Member
- Nov 21, 2016
- 967
- 1,626
lizzy hujawazoea wanaume wa umu apo wanasema tu ukute anakuja kupungza stress zake uku yan hizo sifa ambazo anaziponda hapa ndo mke wake anazo hahah jf kutwa kusema hawaongi wakt wanatuma pesa na yakutolea juu ila wakija umu wanajishaua hawaongiSasa mbona kazi ipo....
#1 Wazuri wasiolewe
#2 Single mother wasiolewe
#3 Wasomi wasiolewe
#4 Wenye exposure wasiolewe
#5 Waliofanikiwa wasiolewe
Sasa mwisho wa siku mtaoa majini ama???
Anyway...punguzeni hizo inferiority complex maana mkiendelea hivyo mtaishia kufa kwa msongo wa mawazo.