Alvin A.
JF-Expert Member
- Oct 14, 2016
- 2,865
- 3,633
Mdada wa kuoa, anatakiwa kuwa mshamba kiana......
Sio mdada anamjua mpaka Cheki Noris,Anord Shozniga,zarumendra...._
huna hata cha kumdanganya?...._
Inatakiwa ukimuuliza "baby unamjua Lukaku?" anakujibu "ni yule rafiki yako wa kijijini?"
Baby hivi ibracadabra unamjua?" anakujibu "si ndo yule mtoto wa mama James?".......
sio mdada anajua matimu ya mpira bongo mpaka ulaya,anaijua hadi sedadu fc ya ugiriki......
mdada ukiangalia nae The Walking Dead au Wrong turn hata hashtuki,amekodoa mi macho tu mwanzo mwisho...._
inatakiwa akiangalia muvi za kutisha anakukumbatia kumbatia "baby toa bn mi ntaota".....au "au maskin si atamuua sasa".....
Sio mdada anaangalia picha la mavampire anashabikia "bora life,linakiherehere sana!....."
Mi napenda mdada nikimwambia "Leo Chelsea anacheza na Man U"....yeye aniambie "kumbe kombe la dunia limeanza?"..........
_Sio mdada anakutajia mpaka first eleven ya watford,mke gani huyo??