Kuanzia leo humu JF, watu muwe na heshima na nidhamu kuhusu jina la Mwenyezi Mungu, kuna huu msemo watu wamekuwa wanautumia " Mungu anakuona", watu wamekuwa wanaongea bila hata aibu na wengine ni wanaume kabisa utakuta anaongea bila aibu. Katika vitakatifu hasa Biblia Mwenyezi Mungu katika amri zake amekataza kutaja jina lake bure. Sasa hii tabia ya kutaja jina la Mwenyezi Mungu huku unaunganisha na picha za ajabu kama mtoa mada naomba kuanzia leo iwe mwisho na hata Mods tunaomba muwe mnafuta mada zinazokashifu jina la Mwenyezi Mungu.
Nitarudi badae
Mkuu kitu kinaonekana OG kabisa hicho!Apps za android hizo zinatengeneza.
Au kavaa zile skin za mabox
Hongera kwa kufuga churaWa kwangu huyo blaza!
Ni marafiki hao wanapenda kutaniana.Mmoja(huyo anayetaniwa) anapenda sana kuringia umbo lake.
Dah... Fundi paving blocks yuko vizuri sana.. ..Naweza pata namba yake?