Nyerere ndiye katufikisha hapa

Nyerere ndiye katufikisha hapa

Candela

JF-Expert Member
Joined
Aug 12, 2021
Posts
893
Reaction score
2,439
Wwngi mmeaminishwa nyerere alikuwa mtakatifu ,mfano wa kuigwa. Ila niwaambie ukikaa na wazee waliopitia shuruba za nyerere ndio utajua alikuwa hafai.

Kwanza wakati wa vita ya kagera kuna tajiri aligoma kutoa mabasi yake kubeba askari, hali hiyo ilifanya apigwe marufuku kuingiza gari nchini ndio maana mpaka leo miaka yote umejua hilo kampuni hawajawahi kununua basi jipya yote used.

Fuatilia stori za kina kambona, utaelewa nyerere alikuwa mafia kiasi gani.

Kiuhalisia nyerere ndio tatizo la taifa hili.
 
Ebu angalia watoto wake wote jinsi madishi yao yalivyoyumba ndio utajua yule mzee hakua na akili timamu
 
Chuki binafsi. Mtu kaondoka miaka 41 ila bado mnapiga makelele. Waliopo mnawalamba miguu. Very stupid.
Hujui kama kosa moja linaweza kugharimu vizazi na vizazi?bila yeye kuifungamanisha ccm na taasisi za umma Leo tungekua hapa??...una akili ndogo mnoo!
 
Mimi huwa napenda sana watu ambao wanaelezea jambo na kuwa specific na siyo kulalamika tu jumla jumla. Hebu tuambie unaposema ''Nyerere ndiyo katufikisha hapa'' una maana gani?
 
Hujui kama kosa moja linaweza kugharimu vizazi na vizazi?bila yeye kuifungamanisha ccm na taasisi za umma Leo tungekua hapa??...una akili ndogo mnoo!
Ukiona ''kosa moja'' linagharimu vizazi na vizazi, basi ujue hiyo jamii ni legelege, imejaa wavivu wanaopenda kutafuta visingizio tu. Unajua historia ya wayahudi? najua wamepitia madhila gani?
 
Hujui kama kosa moja linaweza kugharimu vizazi na vizazi?bila yeye kuifungamanisha ccm na taasisi za umma Leo tungekua hapa??...una akili ndogo mnoo!
Akili unazo.Muda unao.Kwa nini unashindwa kufanya unayoona ni mema kwako na kwa nchi yako?Sasa wote tukikaa tumeweka mikono mashavuni na kumlaumu marehemu itasaidia nini?
 
Wwngi mmeaminishwa nyerere alikuwa mtakatifu ,mfano wa kuigwa. Ila niwaambie ukikaa na wazee waliopitia shuruba za nyerere ndio utajua alikuwa hafai.

Kwanza wakati wa vita ya kagera kuna tajiri aligoma kutoa mabasi yake kubeba askari, hali hiyo ilifanya apigwe marufuku kuingiza gari nchini ndio maana mpaka leo miaka yote umejua hilo kampuni hawajawahi kununua basi jipya yote used.

Fuatilia stori za kina kambona, utaelewa nyerere alikuwa mafia kiasi gani.

Kiuhalisia nyerere ndio tatizo la taifa hili.
🖕🖕🖕🖕🖕

Watu mkikataliwa na WAUME zenu mnakuja KUMLAUMU Nyerere
 
Tuache lawama, wajinga na waharibu wa taifa hili ni watu wa zama hizi.

Kama yeye katufikisha hapa, Mwinyi sn, Mkapa, Kikwete, Magufuli, na Samia kwa nini hawajafanya kitu kurekebisha alipokosea?
 
Tuache lawama, wajinga na waharibu wa taifa hili ni watu wa zama hizi.

Kama yeye katufikisha hapa, Mwinyi sn, Mkapa, Kikwete, Magufuli, na Samia kwa nini hawajafanya kitu kurekebisha alipokosea?
 
Akili unazo.Muda unao.Kwa nini unashindwa kufanya unayoona ni mema kwako na kwa nchi yako?Sasa wote tukikaa tumeweka mikono mashavuni na kumlaumu marehemu itasaidia nini?
Visingizio wanavyotumia hawa jamaa ni ''hamtaki Nyerere akosolewe'', ''Nyerere hakuwa mtakatifu''. 1. Tunataka sana Nyerere akosolewe, lakini siyo kila baya linalotokea miaka zaidi ya 30 tangu afariki lihusishwe naye. Kwa mfano kuna watu mpaka sasa wanasema inabidi tumlaumu kwa sababu eti ''hakutupa katiba nzuri''. Yaani hawajui kuwa kazi ya kuandika katiba nzuri ni kazi ya wananchi na wana uhuru wa kufanya hilo muda wowote. Ukiomba kitu na ukapewa kisichokufaa wakati ulikuwa na uwezo wa kutafuta cha kwako ni nani mwenye makosa? Mbona wakenya wamepigania wenyewe badala ya kumlaumu Jomo Kenyatta? Kuhusu utakatifu wa Nyerere, kisiasa hakuwa mtakatifu na alikuwa na makosa mengi. Kama ni utakatifu wa ki-dini, hayo ni mambo mengine ya imani ya RC na hawakulazimisha watu wengine wayakubali.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom