Nyerere advising Magufuli posthumuosly

MUSA ADAM
Katika awamu zote za uongozi hakuna Raisi ambaye hajawai kusemwa iwe kwa mema au kwa mabaya! ukianza Hayati Baba wa Taifa mwl Julias Kambarage Nyerere,Ally Hasani Mwinyi Mkapa Kikwete na sasa Magufuli so mnaomsifia endeleeni kumsifia na wakosoaji endeleeni kukosoa ila Magufuli ataendelea kuwepo na atakuja mwingine wa awamu ya sita
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom