Ndugu zangu kama mnakumbuka mr nyaradu na prof magembe wamewahi kuhudumu hii wizara ya utalii na maliasili. Je bila upendeleo unazani ni nani chaguo nafuu kwa sasa katika sector hii ya utalii?
Sitamsahau Kagasheki kwenye wizara hii. He was the best. fitna tu zilimuondoa.
Wote mizigo
Sitamsahau Kagasheki kwenye wizara hii. He was the best. fitna tu zilimuondoa.
Sitamsahau Kagasheki kwenye wizara hii. He was the best. fitna tu zilimuondoa.
Mm kwangu Kagasheki Khamis was and is still the best kwenye hii wizara...tatizo ni kwamba urais pamoja na mambo mengine ni kufanya siasa so issues za kubalance ukand,muungano,dini,makabila,walemavu na issue ya chama pia ni mhimu sana...suala la kufanya kazi au kutofanya kazi linategemeana na standards za mwajiri wako,kama mwajili kaweka minimum standards possible ni lazima kila mwajili afanye kazi beyond that otherwise kupigwa chini ni easy sana
Naadhni issue ya maghembe na eng lwenge kupewa uwaziri itakuwa kunapresha kutoka baadhi ya watu wa ccm kumuradhimisha kwa kutumia kigezo cha kubalance ukanda.kwa kuwa magufuri anatenda haki na ni mtu wa demokrasia kuliko watu wanavyodhani basi amewateua ili kuwapa nafasi chini yake ili aone kama watatenda maajabu
Hakuna mwenye ubora hapo,kwani hukumbuki Nyalandu alikuwa anashinda kwenye ndege na miss wake Faraja Kota?aise bora hata nyalandu.HUYU LITUMBO KAMA ANA MIMBA SABA.
aise bora hata nyalandu.HUYU LITUMBO KAMA ANA MIMBA SABA.
Prof. Magembe hajawahi kuhudumu Wizara ya Maliasili na Utalii. Amefanya hivyo Elimu na Maji ambapo kote hatukuona mabadiliko yoyote ya maana katika sekta za maji na maliasili. Lakini tusimuhukumu kwa nafasi hii mpya kabla hajatenda hasa ukizingatia kwamba serikali ya awamu ya 4 ilikuwa almost paralysed kiutendaji. Pengine kutokana na amsha amsha iliopo kwenye serikali hii mpya huenda akafanya vizuri, tusubiri. Wote waliopewa nafasi tuwape muda tuje tuwapime kwa utendaji wao kwenye nafasi zao za sasa.